Our lab and instructors
It is a spacious, comfortable air-controlled computer lab with latest computers and training facilities. It has fast fiber Internet. All our instructor led courses are conducted by instructors who are experts in their respective specialities.,
Location
We are located at NIC Investment House, Ground Floor, Wing A (Kitega Uchumi), Samora/Mirambo - in the heart of the City of Dar es Salaam. The lab is surrounded by various amenities and KFC and East Point are located just opposite to quench your thirsty and hunger. Parking is available** (managed by City Council).
Best facility
Hire the entire lab. Use it the whole day, half a day, several hours a day for as long as needed. Hire the entire lab. Design a course, and let us facilitate it. Hire the entire lab. Use our pre-designed courses. Hire our Instructors to come to your location.
Contact us
Get in touch
Our friendly team is always here to chat.
UPCOMING SKILLS
View and Select the skill you want
INTRODUCTION TO WEB DEVELOPMENT
TZS 40,000.00
Kozi hii inalenga kufundisha wanafunzi jinsi ya ketengeneza website na webpages za website kwa kutumia HTML (Hypertext Markup Language) na CSS (Cascading Style Sheets). Wanafunzi watapata ujuzi wa msingi na maarifa ya kina ya jinsi ya kutumia HTML na CSS kutengeneza website zenye muundo mzuri na design ya kuvutia
VIEW THE COURSE
PROGRAMMING WITH PYTHON
TZS 40,000.00
Kozi hii ya programming with Python inalenga kutoa misingi na ujuzi wa kufanya kazi na lugha ya programu ya Python. Wanafunzi watapata ujuzi wa (configure), (edit), na (execute) programu za Python kwa kutumia msingi wa lugha hii ya programu.
VIEW THE COURSE
CYBER SECURITY ESSENTIALS
TZS 40,000.00
Kozi hii ya cyber security inalenga kutoa misingi na maarifa ya kufahamu na kuzuia vitisho vya usalama wa cyber. Wanafunzi watapata ujuzi wa kutambua, kuchunguza, na kuzuia mashambulizi ya cyber kwa kutumia mifumo ya usalama na mbinu za kisasa.
VIEW THE COURSE
CLOUD COMPUTING ESSENTIALS
TZS 40,000.00
Kozi hii ya cloud computing inakusudiwa kutoa misingi na ufahamu wa jinsi ya kufanya kazi na mifumo ya kompyuta iliyohifadhiwa kwenye cloud. Wanafunzi watapata ujuzi wa set up, kusimamia, na kuhudumia system ambazo zipo kwenye cloud. kwa kutumia huduma za kisasa za kuhifadhi na kusimamia data.
VIEW THE COURSE
USE A COMPUTER LIKE A PRO
TZS 20,000.00
Kozi hii ya "How to Use a Computer Like a Pro" inalenga kutoa maarifa na ujuzi wa kufanya kazi na kompyuta kwa ufasaha na ufanisi zaidi. Wanafunzi watapata ujuzi wa kufanya kazi na vifaa vya kompyuta, programu, na tools za mtandao kwa njia ya kitaalam.